0
.

Kama utaendelea kufanya yale yale ambayo umekua ukuifanya kwa miaka mitano iliyopita, basi ni dhahiri kua miaka mitano ijayo mambo yatakua karibu sawa na leo.

Lakini siku moja inaweza kubadili kabisa mwelekeo na hatima ya miaka mitano ijayo.
Unaweza kuanza kutabasamu leo ukiwa na matumaini ya kesho bora kuliko leo kama leo utaanza kufanya jambo bora na jipya kwa maisha yako.

Hakuna wakati mzuri kuanza kufanya jambo zuri kama wakati unaoitwa sasa.

Haikugharimu chochote kuamua.

 Wakati mwingine huhitaji kuwa na details zote kabla hutaamua, bali unahitaji kujua unacho kitaka halafu ukaamua kukitafuta.
Anzia ulipo na hicho ulicho nacho….
Karibu kwenye timu ya TREVO, mahali walipo jaa watu wenye matumaini makubwa sana na leo, pamoja na kesho yao. 
+255 763 449 449

Post a Comment

 
Top