Trevo ipo kuwawezesha watu kufikia ndoto
zao.
Trevo haitakuoa ndoto za kutimiza bali
itakupa msaada wa jinsi ya kuzifikia ndoto zako.
Pamoja na kuwa kila mtu ana ndoto yake,
tunaamini kwamba kuwa na fya njema kwa muda mrefu, pamoja na kuwa na fedha za
kuhudumia familia na jamii yetu ni miongoni mwa ndoto ambazo kila mmoja anayo.
Tuambie unacho taka na sisi
tutakuwezesha kufikia hapo.
Tumefanikiwa kuwawezesha wengi, nab ado hat
Ujatosheka.
Tunachofanya sisi ni kukuonesha njia na kukushika mkono ufike pale
ambapo wewe umeamua kwenda.
Hakina ambacho hakiwezekani kwake aaminiye.
MWANINI MUNGU. JIAMINI WEWE. IAMINI TREVO.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.