Nafahamu watu waliokuwa wanaonekana wa
chini kabisa kwenye jamii kutokana na hali zao za kimaisha.
Waliokuwa wanafanya kazi za kuajiriwa
zenye ujira mdogo kabisa.
Lakini wakajiuliza maswali ya maana
baada ya kuchoka maisha ya namna hiyo.
‘HIVI HALI HII NI MPAKA LINI?’
Bila kujiuliza swali la msingi kama
kama hili kamwe huwezi kuwa na maisha tofauti na uliyonayo sasa.
Mpaka lini utaendelea kuishi kwa
mkopo?
Mpaka lini utaendelea kutamani maisha ya
wengine?
Mpaka lini utaishi kwenye nyumba za wenzako?
Mpaka lini utaendelea hivyo ulivyo?
Mpaka li…..?
Nataka nikwambie ni mpaka utakapo amua
kuwa SASA BAAAASI!!
Tunayo fursa nzuri sana ya kiuchumi
ndani ya kampuni yetu ya TREVO ambayo inakuwezesha kutengeneza kipato chako
mwenyewe bila kuacha kile unacho fanya kwa sasa kama hupendi kuacha.
Kwa biashara hii ndani ya TREVO,
unaweza kuamua moja kati ya haya;
Kuongeza kipato cha ziada
Kutengeneza fedha yakutosha na nyingi
kuliko unayopata sasa.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.