Kwenye jamoo yetu sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la maradhi ya moyo. Hata yale
makundi ambayo zamani hayakuwa na tatizo hili kwa sasa tunashuhudia yakikumbwa
na matatizo ya maradhi ya moyo.
Zipo aina nyingi za maradhi ya moyo, na kila kundi lipo hatarini kupata
mojawapo ya magonjwa hayo.
Chanzo kikubwa cha magojwa ya moyo ni mfumo wa maisha tunayoishi kama, ulaji
mbovu, unywaji mbaya na kuto fanya mazoezi.
zipo sababu nyuingine pia zinazopelekea maradhi hayo.
DALILI
Mara nyingi, hakuna dalili inayojitokeza moja kwa moya kwa wagonjwa wa aina
hii, hadi pale moyo wenyewe unaposhindwa kufanya kazi ghafla (Heart Attack) au
mtu anapopata Kiharusi (Stroke).
Ikitokea dalili kujitokeza mapema basi huweza kutofautiana kutegemea na
aina ya ugonjwa wa moyo, ingawa dalili hizo nazo hazijitokezi mapema kama
ilivyo kwa magonjwa mengine.
Dalili kuu za magonjwa ya moyo ni pamoja na maumivu ya kifua (Hii ni dalili kuu
ya ugonjwa wa moyo); moyo kwenda mbio na kumfanya mtu akose pumzi au kushindwa kupumua; kuvimba miguu, tumbo na mishipa
ya shingoni kujitokeza nje; maumivu ya mgongo, mabega, shingo na taya; tumbo kujaa, kichefuchefu, na
kutapika; kukosa
usingizi na kupoteza fahamu.
MATIBABU
Inashauriwa kuchukuantaha tahadhari kabla ya kupatwa na maradhi hayo. Kabla
hujaanza kutaka kujitibu ni vyema ukachukua hatua za mapema kujikinga maana
matibabu yake ni gharama kubwa na wakati mwingine hayatibiki.
ULAJI MZURI NA MAZOEZI YA MARA KWA MARA NI NJIA BORA KABISA YA
KUEPUKA MARADHI HAYO.
ENDAPO UNA TATIZO HILO NA UNAHITAJI BIDHAA YA LISHE INAYOWEZA KUONDOA TATIZO
HILO UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA SIMU.
0763 449 749
Kwenye jamoo yetu sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la maradhi ya moyo. Hata yale makundi ambayo zamani hayakuwa na tatizo hili kwa sasa tunashuhudia yakikumbwa na matatizo ya maradhi ya moyo.
Zipo aina nyingi za maradhi ya moyo, na kila kundi lipo hatarini kupata mojawapo ya magonjwa hayo.
Chanzo kikubwa cha magojwa ya moyo ni mfumo wa maisha tunayoishi kama, ulaji mbovu, unywaji mbaya na kuto fanya mazoezi.
zipo sababu nyuingine pia zinazopelekea maradhi hayo.
DALILI
Mara nyingi, hakuna dalili inayojitokeza moja kwa moya kwa wagonjwa wa aina hii, hadi pale moyo wenyewe unaposhindwa kufanya kazi ghafla (Heart Attack) au mtu anapopata Kiharusi (Stroke).
Ikitokea dalili kujitokeza mapema basi huweza kutofautiana kutegemea na aina ya ugonjwa wa moyo, ingawa dalili hizo nazo hazijitokezi mapema kama ilivyo kwa magonjwa mengine.
Dalili kuu za magonjwa ya moyo ni pamoja na maumivu ya kifua (Hii ni dalili kuu ya ugonjwa wa moyo); moyo kwenda mbio na kumfanya mtu akose pumzi au kushindwa kupumua; kuvimba miguu, tumbo na mishipa ya shingoni kujitokeza nje; maumivu ya mgongo, mabega, shingo na taya; tumbo kujaa, kichefuchefu, na kutapika; kukosa usingizi na kupoteza fahamu.
MATIBABU
Inashauriwa kuchukuantaha tahadhari kabla ya kupatwa na maradhi hayo. Kabla hujaanza kutaka kujitibu ni vyema ukachukua hatua za mapema kujikinga maana matibabu yake ni gharama kubwa na wakati mwingine hayatibiki.
ULAJI MZURI NA MAZOEZI YA MARA KWA MARA NI NJIA BORA KABISA YA KUEPUKA MARADHI HAYO.
ENDAPO UNA TATIZO HILO NA UNAHITAJI BIDHAA YA LISHE INAYOWEZA KUONDOA TATIZO HILO UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA SIMU.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.