Baada ya kueleza mambo
manne yaliyorahisishwa na boashara ya TREVO ambayo ni
Mtaji wa biashara
Elimu ya biashara
Muda wa biashara
Sasa tuangalie jambo
la nne ambalo hua ni kikwazo cha biashara hasa kwetu sisi ambao ndo tunataka
kuanza.
Nalo ni WAFANYAKAZI.
Kwa mtu ambaye
ameajiriwa, kila mara akifikiria kuanzisha biashara lazima wazo la kupata mtu
mwaminifu wa kumweka kama muuzaji au mtoa huduma lije kwenye akili yake.
Binafsi nimewahi
kuanzisha biashara mara tatu na nikazifunga kwa sababu ya tatizo la WAFANYAKAZI
nilio waajiri.
Kwenye biashara yetu
hakuna waajiri wala waajiriwa. Huna mtu wa kukudai msharara wala kukuibia.
Hakuna mtu wa
kukutengenezea faida wala hasara.
Umaniliki biashara
yako kwa 100%.
Karibu kwenye
ulimwengu wa utafutaji.
Post a Comment