Naendelea kuelezea yale ambayo
TREVO imerahisisha kwenye biashara hasa kwa wale ambao ndo wana anza. Nimeongelea
mambo manne ambayo ni
Mtaji wa biashara
Elimu ya biashara
Muda wa biashara
Wafanyakazi
Leo nataka kuongelea jambo
la tano ambalo ni SOKO LA BIDHAA.
Wapo watu walioanzisha
biashara na kuja kujua kuwa biashara wanayofanya inahususha bidhaa ambayo haina
uhitaji wa kutosha kwenye soko.
Trevo ni bidhaa ambayo
KILA MTU anahitaji. Ni bidhaa ambayo kadri siku zinaavyoenda mahitaji yake
yataendelea kuongezeka.
Na kwa muda wote ambao
dunia itakuwepo na watu wakawepo, basi trevo itazidi kuhitajika.
Kwa mjasiriamali wa trevo
suala la kukosa soko halipo kabisa. Na pengine
tunawezaa tusilitimizie soko mahitaji yake.
Unagana nasi tusaidie
jamii kutatua tatizio la kiafya na tuwe na jamii yenge nguvukazi.
Pesa zitakuja zenyewe tu.
Post a Comment