Tunaendeleas kuangalia vikwazo vya biashara ambavyo vimetatuliawa na TREVO
Baada ya kueleza kuhusu mambo mawili ambayo ni MTAJI NA ELIMU, sasa nieleze jambo la tatu ambalo limetatuliwa na TREVONalo ni MUDA.
Watu wengi hasa waliopo kwenye ajira suala la muda wa kufanya biashara ni tatizo. Mshahara hautoshi na muda wa kuongeza kipato hawana.
Biashara ya TREVO inahitaji muda ambao kila mtu anaweza kuupata. Ili kufanikiwa kwenye biashara hii unahitaji masaa angalau mawili kwa siku.
Fikiria unatumia masaa mawili kwa siku na unaingiza fedha mara mbili zaidi ya kazi unayoifanya kwa masaa 10.Nani hapendi biashara ya namna hii.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment