Watu huwa tunaachana
kwenye maamuzi yanayotokana na mitazamo yetu.
Watu wawili wanaweza
kukutana na fursa, mmoja aksema
‘FURSA
HII NI VIGUMU KUITUMIA’
na wapili akasema
‘FURSA HII
NI VIGUMU KUIACHA.’
Kuanzia hapo kila
mmoja anajenga hatima yake.
Kinacho kukwamisha
wakati mwingine siyo kukosekana kwa fursa bali mtazamo wako juu ya fursa
zinazojitokeza.

Post a Comment