0




JIUNGE NA TIMU YA WASHINDI -   JOIN THE WINNING TEAM

Utaratibu wa mafunzo kwa wana timu yetu ni jambo la kawaida na linalopewa kipaumbele.
Kila mwana timu anahakikishiwa anapewa mafunzo muhimu kwa biashara hii ili kuhakikisha kila mmoja wetu anafika juu.

Hii inaondoa hofu ya kushindwa. Hakuna kushindwa labda uamue mwenyewe kushindwa.
Mafunzo utakayopata hapa nina uhakika huwezi kuyapata popote.
Hakuna gharama ya mafunzo, kila mwana timu anahaki ya kufundishwa na kusaidiwa buree

HII NDIO WINNING TEAM
Kwa maelezo zaidi +255 763 449 749

Post a Comment

 
Top