Tumeshuhudia watu
wakitengenezea mamia ya mamilioni ya shilingi. Watu hao wapo kwenye nchi yetu,
wengine kwenye miji yetu, na wengine mi marafiki zetu.
Swali la msingi la
kujiuliza ni kuwa, WAMEWEZAJE?
Swali la pili ni kuwa
KWANINI SIYO MIMI?
Ukweli ni kwamba hata
wewe unaweza na zaidi ya kuweza.
Tofauti yako na wao
ni kwamba WAO WALIAMUA KUANZA.
Pengine wewe unaona kama muda bado, au unaona
kuwa utaweza kuanza wakati wowote….
Lakini wakati wewe
unasubiri wakati mzuri ufike, wao waliamua kutumia wakati uliopo na kuufanya
kuwa wakati mzuri.
Unaweza kuanza siku
yoyote, hii inamaanisha kuwa unaweza kuanza hata leo.
Bora kuanza leo maana
sometimes ‘letter may become never.’
Post a Comment