0

USIWE KAMA HUYU MTUMWA
USIWE KAMA HUYU MTUMWA

Kuna hadithi Fulani ya zamani ila kwa leo naona inanipa maana kuliko wakati naisikia. Kulikua na  mtu mmoja, mtumwa aliyekua anafanya kazi kwa mfalme. Alikua na bidii sana na mfalme alimpenda sana. Hilo lilimfanya mtumwa huyo kuishi  rah asana na ku…

Read more »

0

NETWORK MARKETING
NETWORK MARKETING

NETWORK MARKETING au BIASHARA YA MTANDAO  ni biashara inayokua kwa kasi sana ulimwenguni hasa katika karne hii ya 21. Kwa jina lingine inaitwa biashara ya karne ya 21. Kuna watu wananufaika sana kiuchumi na biashara hii, licha ya wengi ambao wamejari…

Read more »

0

FAHAMU SULUHISHO LA KISUKARI:-
FAHAMU SULUHISHO LA KISUKARI:-

Huu ni ugonjwa unaotokana na mtu kuwa na sukari nyingi kupita kiasi kwenye damu, hivyo kuvuruga utaratibu wa kuingiza sukari ndani ya chembe kutoka kwenye damu kwa kuwa chembe huhitaji sukari kupata nishati Ugonjwa huu hutokea pale ambapo tezi ya ko…

Read more »

0

MARADHI YA MOYO NA SULUHISHO LAKE
MARADHI YA MOYO NA SULUHISHO LAKE

Kwenye jamoo yetu sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la maradhi ya moyo. Hata yale makundi ambayo zamani hayakuwa na tatizo hili kwa sasa tunashuhudia yakikumbwa na matatizo ya maradhi ya moyo. Zipo aina nyingi za maradhi ya moyo, na kila kundi lipo ha…

Read more »

0

HIVI MPAKA LINI?
HIVI MPAKA LINI?

Nafahamu watu waliokuwa wanaonekana wa chini kabisa kwenye jamii kutokana na hali zao za kimaisha. Waliokuwa wanafanya kazi za kuajiriwa zenye ujira mdogo kabisa. Lakini wakajiuliza maswali ya maana baada ya kuchoka maisha ya namna hiyo. ‘HIVI HALI …

Read more »

0

 SAFARI MPYA YA MAISHA YANGU.
SAFARI MPYA YA MAISHA YANGU.

USHUHUDA ULIOANZISHA SAFARI MPYA YA MAISHA YANGU. Mwaka 2007 nilipoteza ujauzito wa wiki 24 kwa sababu ya shinikizo la damu.(BP) Mwaka 2008 nili shika mimba tena na ilipofika wiki ya 29 shinikizo la damu likawa juu tena na nikalazwa hospitali. Hali …

Read more »

0

TATIZO LA SUMU MWILINI
TATIZO LA SUMU MWILINI

TATIZO LA SUMU MWILINI. Tunaiharibu miili yetu kwa kuingiza sumu mwilini kwa kujua au kutokujua, hii ni kutokana na maisha tunayoishi kila siku (lifestyle ). Tuangali baadhi ya vitu vinavyochangia miili yetu kuwa na sumu VYAKULA NA VINYWAJI, kuanzi …

Read more »
 
 
Top