USHUHUDA ULIOANZISHA SAFARI MPYA YA MAISHA YANGU.
Mwaka 2007 nilipoteza
ujauzito wa wiki 24 kwa sababu ya shinikizo la damu.(BP)
Mwaka 2008 nili shika
mimba tena na ilipofika wiki ya 29 shinikizo la damu likawa juu tena na
nikalazwa hospitali. Hali ikazidi kuwa mbaya na nikafanyiwa upasuaji lakini motto
hakua riziki. Nilipata fahamu siku ya tatu nikiwa ICU.
Mwaka 2014 mwezi wa 12
nikiwa na ujauzito wa miezi 7, nikiwa kazini alikuja mmoja wa marafiki zangu
ambao niliwahi kufanya nao hazi, akaionesha chupa ya TREVO.
Wakati huo nilikua na
mawazo juu ya kitakacho nipata maana nilikua na shuinikizo la juu la damu, calcium ilikua chini na nina
upungufu mkubwa wa damu.
Nilianza kuitumia na
baada ya muda mfupi nilishangaa sana. Shinikizo la damu liliisha, damu
ikaongezeka na nikawa na nguvu ajabu. Namshukuru Mungu niliendelea vizuri hadi
nikajifungua salama na leo nina huu ushuhuda.
Nb
JIFUNZE ZAIDI KUHUSU
TREVO, MAANA UNAWEZA KUOKOA MAISHA YA WENGI, NA UKATIMIZA NDOTO ZAKO ZA
KIUCHUMI.
0763 449 749
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.