0


USHUHUDA ULIOANZISHA SAFARI MPYA YA MAISHA YANGU.
Mwaka 2007 nilipoteza ujauzito wa wiki 24 kwa sababu ya shinikizo la damu.(BP)
Mwaka 2008 nili shika mimba tena na ilipofika wiki ya 29 shinikizo la damu likawa juu tena na nikalazwa hospitali. Hali ikazidi kuwa mbaya na nikafanyiwa upasuaji lakini motto hakua riziki. Nilipata fahamu siku ya tatu nikiwa ICU.
Mwaka 2014 mwezi wa 12 nikiwa na ujauzito wa miezi 7, nikiwa kazini alikuja mmoja wa marafiki zangu ambao niliwahi kufanya nao hazi, akaionesha chupa ya TREVO.
Wakati huo nilikua na mawazo juu ya kitakacho nipata maana nilikua na shuinikizo  la juu la damu, calcium ilikua chini na nina upungufu mkubwa wa damu.
Nilianza kuitumia na baada ya muda mfupi nilishangaa sana. Shinikizo la damu liliisha, damu ikaongezeka na nikawa na nguvu ajabu. Namshukuru Mungu niliendelea vizuri hadi nikajifungua salama na leo nina huu ushuhuda.

Nb
JIFUNZE ZAIDI KUHUSU TREVO, MAANA UNAWEZA KUOKOA MAISHA YA WENGI, NA UKATIMIZA NDOTO ZAKO ZA KIUCHUMI.
0763 449 749 

Post a Comment

 
Top