2
TREVO NI NINI?


1. Trévo ni mchanganyiko wa jumla ya virutubisho 174 ambavyo vinatokana na mimea, mboga mboga na matunda yaliyokusanywa toka sehemu mbalimbali duniani.

Mchanganyiko huo uliozaa kirutubisho cha Trévo umetengenezwa nchini Marekani na Billionaire aitwaye Mark Stevens na Mkewe Holli.

Ukweli ni kuwa Trévo ni zao la kazi ya utafiti wa zaidi ya miaka 4 na pia utafiti wa zaidi ya miaka 2 wa matumizi yake na kukifanya kuwa kimiminika cha virutubisho bora vilivyokusanywa toka mabara yote ya dunia hii. Trévo imejitanabaisha kuwa kirutubisho pekee duniani chenye mchanganyiko wa virutubisho vingi vya vitamins, madini muhimu ya mwili, matunda ya kutoa sumu mwilini (antioxidants), madini mbalimbali na mimea yenye uwezo wa kutibu magonjwa (herbs).


Trévo ina nguvu tatu inazofanya katika cell ya mwanadamu: kufanya upya (Renew), kufufua (Revive) na kurejesha uwezo (Restore).

2. Sifa nyingine kubwa ya Trévo ni kuwa imetengenezwa kwa vichembe chembe vidogo sana (micro ionized) vinavyoiwezesha Trévo kufyonzwa kwa urahisi na cell na kuanza kutumika hapo hapo mtu anapoinywa. Hii ina maana kwamba mtu anapokunywa Trévo inaanza kufyonzwa ndani ya cell sekunde kadhaa inapoingia mdomoni na inaingia tumboni huku ikiendelea kufyonzwa.

3. Trévo ina Amino Acids zinazohitajika katika mwili. Amino Acid ni muhimu kwa maisha, na huwa na majukumu mengi katika umetaboli (metabolism). Kazi moja muhimu hasa ni kutumika kama miundo msingi ya ujenzi wa protein. Sehemu kubwa ya cells za binadamu, misuli na tissue imejengwa na amino acids ambazo pia ndio zinazounda sehemu kubwa ya proteins.

4. Trévo ina mchanganyiko unaoifanya kuwa anti oxidant yenye nguvu sana. Seli za mwili huhitaji hewa ya oxygen ili ziweze kufanya kazi. Hewa ya oxygen hutumika kuunguza vyakula tunavyokula ili kuupatia mwili nguvu. Ili hewa ya oxygen isilete madhara mwilini ni lazima itumike yote kwa ufanisi kwani ikibaki mwilini inaweza sababisha kutengenezwa kwa free radicals zinazoweza kupelekea mtu kupata saratani (cancer), cell kufa (necrosis), watoto kuzaliwa na matatizo yasiyo ya kawaida (mutation), n.k.

Free radicals ni atoms zenye namba witiri za elektron ambazo zinauwezo wa kuungana na element kama mercury, shaba ( heavy metals ) pamoja na madawa mengine kutengeneza kemikali zinazoweza kusababisha madhara kwenye chembechembe za urithi ( DNA). Pamoja na uwezekano wa kupelekea saratani, atom hizi zinaweza zikasababisha: Uchovu wa mwili, Kuzeeka mapema, Matatizo ya akili, Ukosefu wa kumbukumbu, Kizunguzungu, Kichefuchefu, n.k.

Mchanganyiko ulioko ndani ya Trévo unaipa nguvu kubwa sana ya kutoa sumu mwilini kwa kuwa imekuwa na antioxidant kubwa kupambana na maradhi mbalimbali ndani ya mwili wa mwanadamu. Ikumbukwe pia miili yetu inapata magonjwa mbalimbali tena kwa urahisi kukiwa na ukosefu wa virutubisho.

Trévo inasaidia magonjwa yafuatayo:
1. Kisukari
2. Kansa
3. Presha (BP)
4. Magonjwa ya Macho
5. Magonjwa ya Ngozi
6. Changamoto za kukosa watoto kwa wanaume na wanawake
7. Matatizo yote ya kipindi cha Hedhi kwa wanawake
8. Kuongeza CD4 haraka kwa wanaoishi na virusi vya ukimwi
9. Magonjwa ya Moyo
10. Kupooza (stroke)
11. Watoto wasiopenda kula
12. Asthma
13. Allergy
14. KUPUNGUZA UZITO
15. Kutoa sumu mwilini kwa hali ya juu sana kwa kiwango cha ORAC (Oxygen Radical Absorbance Capacity) cha 373,000 antioxidant. Pia Trévo imegundulika kuwa na uwezo mkubwa sana wa kutoa sumu katika mwili kwa kutumia kipimo cha CAP-e (Cell-based Antioxidant Protection in Erythrocytes – njia ya kisasa ya kubaini uwezo wa kutoa sumu katika cell za mwili wa viini lishe vya asili).
16. Changamoto ya kubalance homoni (hormones) za mwili kwa wale wanawake wanaopata mimba bila mpangilio
17. Kuleta brain focus (kutoa stress)
18. Kukupa usingizi unaostahiki bila kuamka amka  na bila uchovu
19. Kuwapa umakini wa akili watoto katika ukuaji wao
20. Vidonda vya tumbo na kujaa gesi tumboni
21. Mifupa na joints kwa wale wenye umri mkubwa
22. Matatizo ya mgongo
23. Viungo kupata ganzi

24. Kuimarisha na kukuepusha na maradhi kwa ujumla na mengine mengi sana ambayo hayajatajwa hapo juu.

Pia Trévo imethibitishwa na mashirika makubwa ya afya duniani.

1. KOSHER. ni shirika la Waisraeli  ambalo hutoa certificate na nembo ktk vyakula ambavyo ni sahihi kutumiwa na  mtu mwenye imani ya Kikristo au Myahudi. Hii inamaana kirutubisho hiki kinafaa kuliwa   na watu wa imani hizo kwa kuwa hakina mchanganyiko unao pingana na imani hii

2. ORAC- ni maabara kubwa inayotumika kupima uwezo wa utoaji sumu mwilini katika vyakula. Maabara hii iliipatia Trévo kiasi kikubwa sana cha antioxidant cha 373,000. Ni kiasi cha juu sana kulinganisha na virutubisho vingine vilivyopo au vilivyowahi kuwepo sokoni

3. HALAL ni shirika la Kiarabu kwa wale wenye imani za Kiislamu. Walithibitisha kuwa Trévo ni salama kwa mtumiaji mwenye imani hiyo na haina mchanganyiko wa kwenda kinyume na imani hiyo

4. VEGETARIAN . Ni shirika la watu wasio kula mazao ya mnyama bali wana kula mboga mboga, mimea, matunda na mizizi

5.TFDA- Shirika la Chakula na Dawa Tanzania. Shirika hili liliithibitisha Trévo kuwa ni sahihi kwa matumizi ya Mtanzania na hivyo wakaipa Certificate mnamo tarehe 11/11/2014

Post a Comment

  1. Naomba kufanya kazi na nyinyi Kama mtakuwa tayari

    ReplyDelete
  2. I wanna do work with you
    I wish to make the connection to people this because people still unaware with TREVO
    am Msonga Richard with my phone number 0624273581

    ReplyDelete

 
Top