0
TATIZO LA SUMU MWILINI.
Tunaiharibu miili yetu kwa kuingiza sumu mwilini kwa kujua au kutokujua, hii ni kutokana na maisha tunayoishi kila siku (lifestyle ).
Tuangali baadhi ya vitu vinavyochangia miili yetu kuwa na sumu
VYAKULA NA VINYWAJI, kuanzi kwenye uhifadhi ghalani tunaweka dawa ili visiharibiwe na wadudu, pia vyakula na vinywaji vinavyo sindikwa Viwandani huwekwa kemikali ( food preservetive ) ili kuvifanya vikae kwa muda mrefu.
MOSHI WA MAGARI NA VIWANDA Hufanya tuvite hewa chafu na kuingiza sumu mwilini.
PIA DAWA za hospital huchangia kuingiza sumu katika mwili.
Miili inapokua na sumu husababisha magonjwa mbali mbali. Watu wengi huwa tuna mazoea ya kutafuta matibabu bila kuangali chanzo cha tatizo.
Tufanye nini ili kuiweka miili yetu salama, hii ni changa moto kwa wengi, lakini naamini Trévo ni suluhisho pekee kwa Changamoto hii.
TRÉVO ni mchanganyiko wa virutubisho 174. Ni kirutubisho pekee duniani chenye mchanganyiko wa virutubisho vingi, na yenye uwezo mkubwa wa kutoa sumu mwilini.
Baadhi ya mimea mbogamboga na matunda maarufu iliyomo katika Trévo ni mangosteen, matunda ya amalaki, gotu kola, ashwagandha, aloe vera, na mimea yenye ukijani matunda yana uwezo mkubwa wa kutoa sumu katika mwili
Trevo imetengenezwa na mimea peke yake. Matunda na mboga mboga pamoja na vyakula vitokanavyo na mimea ni vyakula vinavyohitajika kwa kiasi kikubwa sana katika mwili wa binadam. Ni vyakula vya asili kwa mwanadam tangu uumbaji wa mwanadam wa kwanza. Mwanzo 1:29  Mungu akasema,Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mtu ambao matunda yake yana mbegu, vitakua ndivyo chakula chenu, Kwa mstari huo tunaona kwamba baada ya kuumbwa Mwanadamu aliamuriwa ale vyakula kutoka bustanini (Matunda n.k).
Mchanganyiko ulioko ndani ya Trévo unaipa nguvu kubwa sana ya kutoa sumu mwilini kwa kuwa imekuwa na antioxidant kubwa kupambana na maradhi mbalimbali ndani ya mwili wa mwanadamu.
Brunswick laboratory ni maabara kubwa inayotumika kupima uwezo wa utoaji sumu mwilini katika vyakula. Maabara hii iliipatia Trévo kiasi kikubwa sana cha antioxidant cha 400,000 ORAC. kiasi kikubwa sana  kulinganisha na virutubisho vingine vilivyopo au vilivyowahi kuwepo sokoni.
Ni ukweli usiopingika kwamba katika maisha tunayoishi kukwepa kuingiza sumu mwilini kwa 100% ni ngumu sana, Hivyo basi kila mtu ni mhitaji wa Trévo. Trévo siyo dawa na haipo kwaajili ya wagonjwa peke yao, ni vyema kuiweka miili yetu vizuri kabla hajaribiwa na maradhi.


Grant.
Life and health coach
0763449749

Post a Comment

 
Top