0
Nafahamu watu waliokuwa wanaonekana wa chini kabisa kwenye jamii kutokana na hali zao za kimaisha.
Waliokuwa wanafanya kazi za kuajiriwa zenye ujira mdogo kabisa.


















Lakini wakajiuliza maswali ya maana baada ya kuchoka maisha ya namna hiyo.
‘HIVI HALI HII NI MPAKA LINI?’
Bila kujiuliza swali la msingi kama kama hili kamwe huwezi kuwa na maisha tofauti na uliyonayo sasa.
Mpaka lini utaendelea kuishi kwa mkopo?
Mpaka lini utaendelea kutamani maisha ya wengine?
Mpaka  lini utaishi kwenye nyumba za wenzako?
Mpaka lini utaendelea hivyo ulivyo?
Mpaka li…..?
Nataka nikwambie ni mpaka utakapo amua kuwa SASA BAAAASI!!
Tunayo fursa nzuri sana ya kiuchumi ndani ya kampuni yetu ya TREVO ambayo inakuwezesha kutengeneza kipato chako mwenyewe bila kuacha kile unacho fanya kwa sasa kama hupendi kuacha.
Kwa biashara hii ndani ya TREVO, unaweza kuamua moja kati ya haya;
Kuongeza kipato cha ziada
Kutengeneza fedha yakutosha na nyingi kuliko unayopata sasa.

Post a Comment

 
Top