0

NETWORK MARKETING au BIASHARA YA MTANDAO  ni biashara inayokua kwa kasi sana ulimwenguni hasa katika karne hii ya 21.

Kwa jina lingine inaitwa biashara ya karne ya 21.

Kuna watu wananufaika sana kiuchumi na biashara hii, licha ya wengi ambao wamejaribu na kushindwa.

Ni wazi kuwa kwa maisha ya sasa biashara ya mtandao ni mkombozi wa watu wa kawaida na wale wa kipato cha chini.

Fikiria biashara ambayo unaweza kuifanya na kuisimamia kwa 100% bila kuacha kazi,ajira,shule au hata familia yako.
Halafu inakulipa angalau mara mbili zaidi kuliko kazi yako unayoifanya kwa masaa 8.

Watu wengi hawaijui vizuri, na wanaodhani wanaijua wanacho jua ni uzoefu wao wa wiki mbili au tatu walizo jaribu na kuacha baada ya wao pia kuachwa na walio waonesha fursa.

Hii ni tofauti kabisa na biashara ya kununua na kuuza bidhaa.

Biashara ya mtandao ni TAALUMA!
Network marketing is a profession.

Na kila mtu anaweza kuwa professional.

Na kila mtu anaweza kupiga hela .

Na kila mtu anaweza kuinuka na kuwainua wengi.

Karibu kwenye darasa langu maalumu juu ya biashara hii kwa njia ya WHATSAPP.

Nahitaji watu wachache ambao wana nia ya kweli ya mafanikio.
Hasa wale waliojaribu network marketing wakashindwa.

#0763449749

Post a Comment

 
Top