0





Huu ni ugonjwa unaotokana na mtu kuwa na sukari nyingi kupita kiasi kwenye damu, hivyo kuvuruga utaratibu wa kuingiza sukari ndani ya chembe kutoka kwenye damu kwa kuwa chembe huhitaji sukari kupata nishati



Ugonjwa huu hutokea pale ambapo tezi ya kongosho inaposhindwa kutengeneza kichochei (homoni) aina ya insulin, au pale mwili unaposhindwa kutumia vizuri kichocheo hicho na kusababisha kuongezeka au kushuka kwa sukari



KISUKARI Huweza kusababishwa na kongosho kushindwa kutengeneza insulini ya kutosha au seli za mwili kutoathiriwa na insulini kama inavyotakiwa au sababu zote mbi


Chanzo cha kisukari kinaweza kutokana na kurithi, lakini asilimia kubwa ya wanaokabiliwa na tatizo hili chanzo chake ni MFUMO WA MAISHA.


Hii inajumuisha ulaji mbaya, na kutofanya mazoezi


Watu walio kwenye hatari ya kupata kisukari

1/ Wenye uzito uliozidi


2/wenye historia ya kupata kisukari kwenye familia zao


3/Wanawake waliozaa watoto wenye kilo 4 au zaidi


4/Wasiojishughulisha wala kufanya mazoezi


5/wenye msongo wa mawazo


6/Wenye shinikizo la damu.




SHULUHISHO:



Ili kujitoa kwenye hatari ya kupata huu ugonjwa ni muhimu kuangalia sana vyakula tunavyo kula.


kula kiafya ni njia sahihi kabisa ya kujiepusha na ugonjwa wa kisukari.


Kuanza kukabiliana na ugonjwa huu kutahitaji nguvu kubwa na hata fedha nyingi ukilinganisha na kujikinga ama kujiepusha nao.


Endapo umeshapata ugonjwa wa kisukari ni muhimu kuzingatia ushauri unaopewa na wataalamu wa afya.


Pia tunashauri matumizi ya bidhaa ya virutubisho asilia vitokanavyo na mimea, matunda na mbogamboga.


Bidhaa hii ya TREVO imethibitika kutatua changamoto ya Kisukari pamoja na maradhi mengine mengi.

TRÉVO Hushughulika na chanzo cha tatizo, hivyo huifanya insulin izalishwe kwa kiwango kinachohitajika na mwili na kuurudisha mwili wote katika hali yake ya kawaida kwa ujumla. TRÉVO imedhibitika kuwa suluhisho la Changamoto mbalimbali za afya ikiwemo ugonjwa wa kisukari. Kwa mtumiaji ambae hana tatizo la kisukari anakua amejikinga kwa zaidi ya 99%. TREVO Haipo kwaajili ya wagonjwa tu, ni vizuri kuijali afya yetu kuliko kusubiri kuugua nakuanza kutafuta tiba.


KWA MAWASILIANO JUU YA AFYA TUTAFUTE KWA SIMU:

0763 449 749

Post a Comment

 
Top