0




Kwenye jamoo yetu sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la maradhi ya moyo. Hata yale makundi ambayo zamani hayakuwa na tatizo hili kwa sasa tunashuhudia yakikumbwa na matatizo ya maradhi ya moyo.
Zipo aina nyingi za maradhi ya moyo, na kila kundi lipo hatarini kupata mojawapo ya magonjwa hayo.
Chanzo kikubwa cha magojwa ya moyo ni mfumo wa maisha tunayoishi kama, ulaji mbovu, unywaji mbaya na kuto fanya mazoezi.
zipo sababu nyuingine pia zinazopelekea maradhi hayo.

DALILI
Mara nyingi, hakuna dalili inayojitokeza moja kwa moya kwa wagonjwa wa aina hii, hadi pale moyo wenyewe unaposhindwa kufanya kazi ghafla (Heart Attack) au mtu anapopata Kiharusi (Stroke).

Ikitokea dalili kujitokeza mapema basi  huweza kutofautiana kutegemea na aina ya ugonjwa wa moyo, ingawa dalili hizo nazo hazijitokezi mapema kama ilivyo kwa magonjwa mengine.

Dalili kuu za magonjwa ya moyo ni pamoja na maumivu ya kifua (Hii ni dalili kuu ya ugonjwa wa moyo)
; moyo kwenda mbio na kumfanya mtu akose pumzi au kushindwa kupumua; kuvimba miguu, tumbo na mishipa ya shingoni kujitokeza nje; maumivu ya mgongo, mabega, shingo na taya; tumbo kujaa, kichefuchefu, na kutapika; kukosa usingizi na kupoteza fahamu.

MATIBABU
Inashauriwa kuchukuantaha tahadhari kabla ya kupatwa na maradhi hayo. Kabla hujaanza kutaka kujitibu ni vyema ukachukua hatua za mapema kujikinga maana  matibabu yake ni gharama kubwa na wakati mwingine hayatibiki.

ULAJI MZURI NA  MAZOEZI YA MARA KWA MARA  NI NJIA BORA KABISA YA KUEPUKA MARADHI HAYO.

ENDAPO UNA TATIZO HILO NA UNAHITAJI BIDHAA YA LISHE INAYOWEZA KUONDOA TATIZO HILO UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA SIMU.
0763 449 749


Post a Comment

 
Top