Watu wengi wanapenda
kufanya biashara lakini wanakwamishwa na vikwazo vingi.
Vikwazo hivyo vyote
vimesha tatuliwa na TREVO (T). Ltd.
Kikwazo cha kwanza – MTAJI.
Unakuta mtu
anamalengo ya kutengeneza hela kubwa kiasi kwamba akifikiri kuhusu mtaji anaona
kuwa anahitaji zaidi ya milioni 10 ili kuanzisha biashara itakayomlipa hela
anayotaka.
Trevo imeweka mfumo
ambao unahitaji mtaji chini ya shilingi laki tano, na kuanza biashara ambayo
itakulipa hadi milioni mia tano ndani ya mwaka au miaka miwili.
Fikiria laki tano,
hela ambayo unaweza kuitumia ndani ya siku moja na ikaisha.
Hivyo mtaji siyo
kikwazo tena. Amua unataka shilingi ngapi. Halafu tutakuonesha jinsi ya
kuipata.
©
Grant Sumaye
+255
763 449 749
Facebook/
Grant sumaye
Instagram:
Grant_s.s
Post a Comment