‘You
don’t have to be great to start, but you have to start to be great’. – Zig Ziglar
Kauli hii ni ya uhakika zaidi ndani ya biashara
hii ya trevo.
Hakuna hata ya kuwa na mamilioni ili uweze kuwa na
mabilioni. Kwa kiasi kidogo unachoweza kumudu, unaweza kutengeneza fedha kiasi
chochote unachotaka.
Unachotakiwa kuwa nacho ni nia ya mafanikio na
utayari wa kuyajenga hayo mafanikio.
Trevo inakupa fursa ya maisha, kujenga mfumo mpya
ambao wewe na vizazi vyako vijavyo vitanufaika.
© Grant Sumaye
+255 763 449
749
Facebook/
Grant sumaye
Instagram:
Grant_s.s

Post a Comment