0



TREVO haipo kwa ajili ya wagonjwa.
Licha ya kunesha matokeo mazuri na ya kushangaza kwa wagonjwa, lakini mwanzilishi wa kampuni inayotengeneza bidhaa hii hakuwa na lengo la kutoa tiba bali kuwawezesha watu kuwa mbali na maradhi.
Miili yetu inahitaji virutubisho ili iwe katika hali nzuri na tuishi maisha mazuri.

TREVO ipo kwa ajili ya kuwafikia watu kabla hawajawa wagonjwa.


KINGA YASHINDA TIBA.

Kama magari yetu hatungoji yaharibike ndipo tuyakarabati, kwanini ungoje mwili uumwe ndipo uutibu?

Tunavyosema kuwa TREVO ni nguvu ya uzima tunamaanisha kuwa nguvu tatu zilizopo ndani ya TREVO zinamuwezesha mtumiaji kuwa na afya stahiki na kuondoa uwezekanao wa kupata maradhi.

Unaweza kuishi hadi miaka 80 ukijaliwa ukiwa na nguvu na afya kama mtu mwenye miaka 30.

Wote tunazeeka, lakini siyo lazima kuonekana wazee au kujiskia. mzee.

Unaweza kuwa na miaka 80 na ukonekana na kujiskia kama una miaka 40

©Grant Sumaye
+255 763 449 749
Facebook/ Grant sumaye
Instagram: Grant_s.s

Post a Comment

 
Top