0


UNATAKA KUTENGEZEZA SHILINGI NGAPI KWA MWEZI.


Jiulize swali hili muhimu sana katika kuweka malengo ya kiuchumi.

Kila mtu ana jibu lake.
Niliwahi kuuliza mahali hili na nilishangazwa na majibu yake.

Wapo walioanzia elfu hamsini hadi waliosema milioni kumi.

Hebu kuwa mwaminifu kwa nafsi yako halafu jipe jibu kuwa unataka kuingiza shilingi ngapi kwa mwezi.

Halafu nitakupa njia ambayo utaweza kuingiza kiasi chochote cha fedha ambacho unaamini umejiambia ukweli kuwa unataka kuingiza.

Post a Comment

 
Top