0







Nasikia raha sana kuwa life & health coach.
Mie mtoto wangu wa miaka 12 alipata tatizo la epilepsy
( kifafa) since ana miaka 9 alikua anadondoka si chini ya mara 10 kwa siku na kama mnavojua kila anavodondoka ubongo unameguka na uwezo wa kufikiri na kumbukumbu unapungua
alikuwa mzima saaana darasani na alikuwa anajiamini 
balaaa
alivokuwa anaugua daah tulipoteza matumaini kabisaaa hata jambo dogo tu ukimuuliza alikua hawezi kujibu yaani alikuwa hakumbuki kitu zaidizaidi anaishia kudondoka 
lkn jamani Mungu ni mwaminifu nampa sifa na utukufu juu ya hii 'miraculous bottle of Trevo'
kudondoka kumeisha
anaweza akawa hajajiandaa kabisaa na mtihani na hata anaweza kuwa hajaenda shule for 2weeks lkn mtihani ukija ni 90%mpaka100% hata mwenyewe anajishangaa
darasani anajibu maswali kuliko hata wenzie wanaohudhuria kila siku
ameshatumia chupa 3 za trevo na bado anatumia tunapambana na tatizo la bedwetting ambalo lilimpata alipoanza kuugua
najua her healing time has came in Jesus Christ name.
Trevo is fireeeeeeee


Post a Comment

 
Top