0



Baada ya kueleza jinsi TREVO ilivyo tatua kikwazo cha kwanza kwa biashara ambacho ni MTAJI, Nataka kuelezea jinsi tatizo la pili lililo tatuliwa na TREVO. 
Tatizo hilo ni ELIMU YA BIASHARA.
Unaweza kuwa umesikia au kuwa miongoni mwa wengi walio anzisha biashara mbalimbali na zikawashinda.
Zipo sababu nyingi za kushindwa lakini kubwa ni kukosa elimi sahihi ya biashara.
Unapo jiunga na TREVO, unakuwa umejiunga na timu itakayo kufundisha elimu ya biashara na jinsi ya kuwa na mafanikio makubwa .
Suala elimu na suala la kila siku.
Hufanyi kazi pekeyako bali unakuwa kwenye timu ya walimu waliokutangulia na waliofanikiwa.
Unapata elimu ya biashara kwa vitendo.
Hapa hakuna kushindwa kwa sababu mafanikio ya kila mmoja ni jukumu la timu.


© Grant Sumaye
+255 763 449 749
Facebook/ Grant sumaye
Instagram: Grant_s.s

Post a Comment

 
Top